VASE

★★★★★ No reviews yet
Sinabei Home Decoo · Home decoo
TSh 30,000

In stock (50 available)

Contact seller Call

Description

VASE ZA KISASA ZA KUPANDIA MAUA NA MITI YA MAPAMBO
Tunauza vase nzuri na za kisasa zinazofaa kwa kupandia maua ya artificial na natural, pamoja na aina mbalimbali za miti ya mapambo kwa matumizi ya nyumbani, ofisini, hotelini, migahawani na maeneo mengine ya biashara.
✅ Zinapatikana kwa rangi na ukubwa tofauti
✅ Muonekano wa kisasa na wa kuvutia
✅ Zinafaa kwa maua na miti ya aina mbalimbali
✅ Tunauza kwa bei ya jumla na rejareja
📍 Dar es Salaam – Kariakoo
📍 Mwanza – Mtaa wa Lumumba
📍 Mwanza – Mtaa wa Natta
📞 0768 152 255
📞 0620 199 596
Karibu uchague vase inayokidhi mahitaji yako kwa bei nafuu na ubora wa hali ya juu.
#VaseZaMaua #ArtificialFlowers #NaturalPlants #HomeDecor #OfficeDecor Kariakoo Mwanza BeiYaJumla InteriorDecor FlowerPots VaseTanzania 🌿✨

Secure paymentMobile money checkout
DeliveryArranged with seller
Order trackingUsing your Ticket ID

Customer reviews

★★★★★No reviews yet

Bought this product? Be the first to share your experience.